WAYNE ROONEY NJE MIEZI MIWILI HIZI NDIO MECHI ATAKAZO ZIKOSA HABARI IPO HAPA

Sungura17
0
 
Wayne rooney ambaye ni Captain wa timu ya taifa Uingereza na klabu yake ya Manchester United,Amejikuta katika kipindi kigumu mara baada ya kupata majeraha ya goti.Taarifa kutoka ndani ya klabu imeeleza kuwa rooney atakua nje kwa muda wa wiki mbili ambazo atakosa michezo ya Kirafiki pale timu yake ya Taifa itakapokutana na ujerumani na uholanzi mwanzoni mwa mwezi wa tatu,Pia ataikosa mechi kati ya Manchester utd ikivaana na Shrewsbury kwenye FA CUP,vilevile mechi dhidi ya Arsenal kwenye ligi kuu,Lakini taarifa za daktari zinaeleza kuwa Rooney ataweza kucheza katika mechi ya Manchester utd dhidi ya Manchester city tarehe 20 ya mwezi ujao.

Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!