RAISI YOWERI KAGUTA MUSEVENI AELEZEA HALI YA UGANDA KUELEKEA MKUU UCHAGUZI HAPO KESHO

Sungura17
0
 
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini uganda hapo kesho Feb 18 Mgombea uraisi ambaye ndiye raisi wa nchi hiyo mchana wa leo,MUSEVENI Akizungumza katika mkutano wa mwisho wa kampeni katika Uwanja wa Kololo Jijini Kampala, amesisitiza amani itasaidia kuhimiza maendeleo na kudumisha mafanikio ambayo yamepatikana hadi leo.
    Mapambano yalitokea juzi kati ya polisi wa Uganda na wafuasi wa mgombea urais wa chama cha upinzani katikati ya aJiji la Kampala, na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine wengi kujeruhiwa.
    Jumatatu polisi wa Uganda walimkamata na badaye kumuachia huru Dkt Kizza Besigye mmoja wa wagombea urais katika uchaguzi huo ambaye anahesabiwa kuwa mpinzani mkuu wa Rais Museveni.
    Mgombea huru Amama Mbabazi naye pia anatazamiwa kutoa ushindani mkubwa kwa Museveni.

Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!