Kampuni ya vifaa vya michezo nike hapo jana 17 FEB imetangaza kuvunja mkataba wake na bondia manny pacquiao kwa kile kilichoelezwa bondia huyo amewatenga na kuwatusi wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja,Manny pacquiao kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya...
It's common sense. Will you see any animals where male is to male and female is to female?
"The
animals are better. They know how to distinguish male from female. If
we approve [of] male on male, female on female, then man is worse than
animals."alimaanisha kuwa ni akili ya kawaida,ushaona wanyama mwanaume kwa mwanaume,na mwanamke na mwanamke?wanyama ni bora zaidi.wanafahamu jinsi ya kutofautisha mwanaume na mwanamke.kama tunathibitisha ni sawa mwanamke kwa mwanamke mwanaume kwa mwanaume basi mwanadamu ni kichaa kuliko mnyama.Alisema.
Mara baada ya muda mfupi kupitia ukurasa wake wa twitter manny aliomba radhi kwa kuwa fananisha na wanyama alikiri ameteleza lakini alieleza kuwa msimamo wake wa kupinga mapenzi ya jinsia moja yapo pale pale na hawezi kusapoti hilo jambo.aliandika haya kupitia twitter...

Manny ambaye amekua na mkataba na kampuni hiyo kwa muda wa miaka nane,promoter wa bondia huyo Bob Arum alieleza kuwa NIKE ni kampuni ya biashara na wanalengo la kufanya biashara namakundi yote hivyo kwa uamuzi waliofanya dhidi ya Manny haoni kama wamekosea kwani hata kama yeye angekua ndiye kiongozi wa kampuni hiyo angefanya hivi hivo alieleza Bob Arum.