Ni miaka miwili sasa tangu itokee minong'ono ya kuvunjika kwa kundi la PSQUARE,ndugu hao wamerudi tena kwenye stori za kugombana.Peter okoye jumanne hii ameshambulia management yake ambayo ipo chini ya kaka yao mkubwa Jude Okoye kwa kumshambulia kwa kupitia ukurasa wake wa twitter na kuwapa onyo wale wote watakaofanya malipo ya aina yoyote kupitia Jude okoye watakua wamepoteza hea yao,aliandika
“Please whosoever makes any transaction with Northside Entertainment or Jude Okoye on Psquare’s behalf does so at their own risk,”
Baada ya maneno hayo Jude alimjibu kwa kuwaambia mashabiki Peter anaitaji maombi wamuombee,Peter akajibu na kumwambia kama yeye anahitaji maombi basi Jude anahitaji mungu,
Majibizano hayo yaliendelea kwa muda mrefu hatimaye saa chache ziizopita Peter ameweza kuomba msamaha kwa yale aliyotamka na kuwaambia mashabiki kuwa Psquare inaendelea haijafa.
hiki ndicho alicho andika...
...I am not perfect i make mistakes, and it hurts people. But when I say sorry I mean it. I am so SORRY for my actions. I sincerely apologize🙏🏽
hiki ndicho alicho andika...
...I am not perfect i make mistakes, and it hurts people. But when I say sorry I mean it. I am so SORRY for my actions. I sincerely apologize🙏🏽
Je nini maoni yako kwa ndugu hawa watatu?alichofanya Peter kwa kwa kaka yake ni sawa hata kama management mbovu?comment hapo chini.Usisahau kushare