Mnamo tarehe 22 FEB raisi magufuli alikutana na mabalozi wapya na kukabidhiwa hati za utambulisho,Ni balozi mpya wa Namibia na balozi wa Congo lakini pia Mh.raisi alikutana na raisi mstaafu DR.Jakay kikwete na balozi wa Uingereza hapa nchini kama hukupata nafasi ya kuitazama video nimekuwekea hapa mwanao wa damu.
USISAHAU MOCOMENT THEN SHEA NA WANA