Familia ya kijana wa miaka 3 nchini misri
ambaye wiki iliyopita alihukumiwa kifungo cha maisha jela imeeleza kuwa
wamefurahishwa na taarifa kutoka jesha la polisi kuwa mtoto huyo
amekutwa hana hatia na kueleza kuwa polisi walifanya Makosa kwenye
utafiti wao.
Polisi wameeleza kuwa walifanya makosa kwakua jina la mtoto huyo limefanana na la mtuhumiwa waliyekua wakimtafuta Ahmed Mansour Qorany Sharara,ambaye alihusika katika mauaji ya watu watatu mwaka 2014 kwenye maandamano ya kumtoa madarakani Mohamed Morsy.
|
NENO MOJA TU KWA JESHI LA POLISI LA MISRI THEN SHEA NA WANA.