|
Madaktari
wa Bristol zoo walilazimika kumfanyia upasuaji mnyama sokwe
aliyefahamika kwa jina la Kera ili kuyaokoamaisha yake kwakua asingeweza
kujifuungua kwa njia ya kawaida,Kera ambaye alibeba ujauzito huo huku
akiwa bado anasumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu alifanyiwa
upasuaji na kujifungua salama.Professor David Cahill ambaye ndiye
alimzalisha sokwe huyo alieleza kuwa anafurahi kuona mtoto ajambona
ameanza kufanya shuhuli zake kama kawaida.Ni mara ya kwanza kutokea kwa
tukio kama hilo kwenye hifadhi ya Bristol zoo mara ya mwisho ilikua ni
kwenye hifadhi ya San diego mwaka 2014.
Profesa
cahill alieleza kuwa hivi sasa sokwe huyo pamoja na mwanae wanaendelea
vizuri lakini bado hawajampatia jina mtoto huyo alieleza cahill. |
|
MADAKTARI WAKIWA KWENYE HARAKATI ZA UPASUAJI WA SOKWE MJAMZITO KERA |
|
DAKTARI AKIMUHUDUMIA SOKWE MTOTO KWA MARA YA KWANZA BAADA YA UPASUAJI |
USISAHAU KUCOMENT THEN SHEA NA WANA