HUU NDIO UTEUZI MPYA KWENYE YA SERIKALI YA MAGUFULI LEO FEB 24
personSungura17
17:21
0
share
Leo FEB 24 Waziri Prof.Makame Mbarawa amemteua Bwn. Hamza Said Johari kuwa Mkurugenzi mkuu wa usafiri wa anga Tanzania,hii ni barua iliyotolewa hapo jana ikifafanua uteuzi huo.