HUYU NDIYE BABU WA WATU WOTE DUNIANI ALIGUNDULIWA SIKU KAMA YA LEO TAZAMA MABAKI YAKE
personSungura17
18:03
0
share
TAREHE KAMA YA LEO FEB 24 MUINGEREZA ALIYEKUA NA URAIA WA KENYA DR.LOUIS LEAKEY ALIGUNDUA MIFUPA YA BINADAMU WA AWALI KATIKA MAPANGO YA BONDE LA OLDUVAI GORGE ARUSHA TANZANIA,ANAAMINIKA KUWA MIFUPA HII NDIO MIFUBA YA BABU WA MABABU WOTE DUNIANI.