Kuelekea
uchaguzi mkuu marekani November mwaka huu Mwana mama Hillary clinton
amburuza Bernie sanders kwenye uchaguzi wa mchujo kwenye jimbo la South
carolina.
Hillary Clinton ameshinda kwa wingi wa kura uchaguzi wa mchujo katika
jimbo la South Carolina kwa kupata asilimia 84 ya kura, kwenye jimbo
hilo lenye watu wengi wa asili ya Kiafrika. Clinton alimshinda mshidani wake wa karibu kwenye mchujio huo Bernie Sanders kwa zaidi ya asilimia 50 ya kura.ENDELEA KUKAA NA MIMI MWANAO WA DAMU DAIMA NIKIKUJUZA ZAIDI |
UCHAGUZI MAREKANI:CLINTON AMBURUZA MZEE MZIMA BERNIE SANDERS KWENYE MCHUJO JIMBO LA SOUTH CAROLINA
00:16
0
Tags