Mtanzania Mbwana ali samatta leo hii FEB 28 ameifanikishia timu ya KRC GENK kuondoka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya vigogo wa ligi Club brugge,Samata ambaye alitokea benchi alitupia bao lake la tatu dakika ya 80 na kuiandikia timu yake bao la tatu VIDEO FULL ya magoli yote ipo hapo chini bofya kuangalia,Usisahau kushea na wana.
VIDEO:MBWANA SAMATA AWATOA KIMASOMASO WABELGIJI TAZAMA GOLI LAKE LA KWANZA
22:39
0
Tags