Kama
ilivyo kawaida Tanzaline hatuachi kukujuza na kukupa Utamu Exclusive
leo nimekukusanyia baadhi ya picha za daraja hili la kipee Duniani
Wenyewe wenye Lugha yao wanaliita BRIDGE FOR SHIPS yaani daraja la
Meli,Daraja hili lipo nchini ujerumani linaitwa Magdeburg Water Bridge lilifunguliwa mwaka 2003 lakini mipango yake ilianza tangu mwaka 1905.
|
HILI NDIO DARAJA LA KIIPEKEE DUNIANI LILILOKO UJERUMANI HUTOCHOKA KULITAZAMA
01:01
0
Tags