Wasichana na wanawake ambao hawajaolewa walioko baadhi ya vijiji nchini
India wanapigwa marufuku kutumia simu za mkononi kwa sababu mamlaka za
kijiji zinaona kuwa sayansi ni “balaa kwa jamii”, kutumia simu za
mkononi ni kama kunywa pombe, huleta athari mbaya kwa masomo yao na
familia zao, itawezekana kuwaingiza katika uhusiano kati ya wanaume na
wanawake, na hata kusababisha vitendo vyao vya uhalifu. Kutokana na sera
hiyo wale watakaovunja sera hiyo wataadhibiwa kwa kutozwa faini ya
dola za kimarekani 30 hivi.
Chanzo ni CRI KISWAHILI