Vigogo
hao wamejikuta kitanzini baada ya Shirikisho la mpira duniani Fifa
kufutilia mbali rufaa za vigogo hao, October 15, 2015 Fifa iliwahukumu
vigogo hao kifungo cha miaka 8 kwenye maswala ya soka baada ya kukutwa
na hatia za rushwa na upokeaji zawadi kwa maslahi yao binafsi,ndipo
Michel platin Raisi wa UEFA na mwenzie Sepp blatter Raisi wa Fifa
walipoamua kukata rufaa ya kupinga uamuzi huo,Hata hivyo Idara iliyokua
ikishughulikia rufaa hiyo imetoa maamuzi yao na kuzikataa rufaa hizo na
kusema kua hazina mashiko.
Licha
ya kuzitupa nje Rufaa hizo Fifa imewapunguzia adhabu Vigogo hao na
badala yake watatumikia kifungo kwa miaka 6 bila kujishughulisha na
maswala ya soka lakini pia Michel Platin atatozwa faini ya million 128
za kitanzania na Sepp blatter atatozwa milion 110 za kitanzania.
|
UNAZUNGUMZIAJE HUKUMU HIYO JE NI ADHABU TOSHA KWA VIGOGO HAO USIACHE KUCOMENT THEN SHEA NA WANA.