SAMSUNG WAITAMBULISHA RASMI SAMSUNG S7 NA S7 EDGE HIZI NDIO SIFA ZAKE CHEKI HAPA

Sungura17
0
Kampuni ya samsung leo FEB 21 imeingia katika headlines mara baada ya kuitambulisha rasmi Smartphone mpya ikiwa ni muendelezo wa samsung galaxy,Ni galaxy S7 na S7 edge zote zinatambulishwa rasmi usiku wa leo FEB 21,ni miezi sita tu tangu ilipotambulishwa Samsung galaxy S6 edge.Mwanao wa damu nimekusogezea sifa zote za smartphone hii mpya kwa picha na itaingia sokoni tarehe 11 mwezi ujao.
SAMSUNG GALAXY S7 NA S7 EDGE ZINAKUJA NA MLANGO KAMA ULE WA CD KWENYE LAPTOP AMBAPO UNAWEKA LINE NA MEMORY CARD YENYE UKUBWA HADI GB 200,PIA KUNA BAADHI YA NCHI ZITAKUWEPO HADI ZA LINE MBILI ORIGINAL.

S7 NA S7 EDGE ZINAUWEZO WA KUKAA NDANI YA MAJI HADI DAKIKA 30 BILA SHIDA YOYOTE ILE.
 KAMERA YAKE IMEPEWA UWEZO WA KUPIGA PICHA ZA MGANDO YANI ZILE ZA MATUKIO KAMA MPIRA AU SHOWS NA IKATOKA KAMA AMEPIGWA MTU ALIYESIMAMA TOFAUTI NA SIMU ZINGINE
KAMERA YAKE INALINGANISHWA NA JICHO LA BINADAMU INAUWEZO WA KUVUTA PICHA ILIYO MBALI NA IKABAKI NA UHALISIA ULEULE,HIKI NI KITU KINGINE CHA ZIADA
 Hizo ni baadhi ya sifa za ziada zilizopo kwenye smartphone hii mpya kabisa hakika siyo ya kukosa anza kujichanga inakuja ni Tarehe 11 march ndipo itaingia sokoni ila kwa watabe mmeruhusiwa kufanya preorder kuanzia sasa Enjoy...


Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!