|
1.SIX PACK ABS
Walio
wengi hukimbilia kufanya mazoezi sio tu kwa ajili ya kuboresha afya zao
isipokua kutengeneza afya huja mbele ya safari lakiniukweli ni kwamba
wengi huingia Gym kwa ajili ya kutengeneza SIX PACK ABS kwa ajili ya
kuongeza mvuto na muonekano mzuri wa mwili.
|
|
2.UNENE NA MAFUTA
Hili
ni kundi la pili ambao wengi wao mamekua hata wakijilazimisha kufanya
mazoezi kwa ajili tu ya kupunguza unene na mafuta yatokanayo na ulaji
mbovu wa vyakula watu hawa nao ni wale wa kujilazimisha kama kundi la
hapo juu.
|
|
3.KUTENGENEZA FIGA
Ni
jambo la kawaida sana siku hizi kuwakuta watoto wa kike wengi Gym au
barabarani wakipasha,na hii inatokana na ukweli kuwa wanaume wengi siku
hizi wamekua wakali kwa warembo wao kuhusu vitambi vya hovyo hovyo na
kwa sababu hiyo wanawake wengi nao wanajituma kufanya mazoezi ndio
sababu sikuhizi mjini hakuna mwanamke mwenye shepu mbaya,kila msichana
siku hizi amejaa Uani,kiona cha dondora na hata matumbo yao ni kama
wazungu,Sio mbaya dadazi endeleeni hivo hivo kitambi sio dili.
|
|
4.KUWEKA MWILI SAWA NA AFYA BORA
Hili
limekua kundi la mwisho kutokana na ukweli kwamba wanofanya mazoezi kwa
nia ya kujenga afya iwe bora ni wachache sana tena kundi hili huwa
wanaishia kufanya mazoezi ya kawaida sana iwe nyumbani hata Gym kundi
hili huishia kukimbia jioni na mazoezi madogo madogo.
|
JE NI KWELI HIZI NDIO SABABU ZINAZOWAFANYA WATU KUKESHA GYM KILA SIKU?
USIACHE KUCOMENT THEN SHEA NA WANA.