Hii ndio ile video iliyokua ikisubiriwa kwa muda mrefu leo FEB 22 imeachiwa rasmi,mwanao wa damu nimekusogezea mzigo wote kama ulipitwa na Audio download hapo chini,oia video angalia hapo chini mzigo mpyaa na makaratasi yake .
[youtube src="bm5VUA6ySHY"][/youtube]