Star wa pop justine bieber akijaribu kuonesha manjonjo nje ya mziki pia anacheza mpira Nimekuwekea video hapo chini mcheki mwenyewe tupia neno moja kwa ajili yake.
NIMEKUWEKEA VIDEO JUSTINE BIEBER AKIONESHA MAUFUNDI YAKE KWENYE MPIRA ANGALIA LAKINI USIMCHEKE
06:00
0