Ni pale
unapoagiza wali wa buku mbili unakutana na jiwe la dhahabu la milion 1.3
vipi utampa mwenye mgahawa?Mwanamke mmoja nchini marekani amebahatika
kukutana na jiwe la thamani liitwalo Quahog pearl ambalo lina thamani
ya dollar 600 sawa na million 1.3 za kibongo,Mwana mama huyo alikutana
na jiwe hilo adimu wakati anakula samaki mgahawani hapo ndipo alipoanza
kushangaa na kujiona mwenye bahati,alisema "Nilihisi navunja meno yangu
maana jiwe hili ni gumu sana na sikujua kama ni kitu cha thamani hivi
kwakua kulikua na giza baada ya kuangalia kwa umakini ndipo nilipogundua
kuwa ni Quahog pear,Alisema.
Haya sasa ukikutana na jiwe kwenye msosi chunguza huenda ikawa siku yako hiyoo...
|
USIACHE KUSHEA NA WANA