Ni
Airlander 10 imegharimu miaka mitatu mpaka kukamilika kwake,ndege hiyo
inaurefu sawa na uwanja wa mpira yaani mita 100,lakinipia inauwezo wa
kubeba hadi tani 10 za mizigo,kwa mujibu wa Kampuni inayotengeneza
ndege hiyo wanadai kwamba Airlander ndio ndege bora zaidi kwakua haina
kelele na tena inauwezo wa kushuka kama Helikopta tofauti na Aeroplane.
Airlander
ina thamani ya dollar bilion 1 za kimarekani kwa ufupi ni jumla ya
utajiri wa Mohamed Dewji (MO) na itafanyiwa majaribio mweziwa tatu mwaka
huu.
|
Hii ni sehemu ya Engine |
MAFUNDI KAZINI |
USIACHE KUSHEA NA WANA