[BREAKING NEWS]NAY WA MITEGO AVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA GARI LAKE LAHARIBIWA VIBAYA USIKU HUU

Sungura17
0
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kwamba msanii anayetamba kwa sasa na ngoma yake #SHIKA ADABU YAO amevamiwa na watu wasiojulikana alipokua akielekea kuitambulisha video yake ya wimbo huo mpyaa,hali yake ipo salama lakini gari lake limevunjwa kioo jambo ambalo limemfanya ashindwe kuitambulisha video hiyo kwenye TV na kusema kuwa itatambulishwa kesho Na haya ndio maneno aliyosema baada ya tukio hilo 
"Nimevunjiwa kio Cha gari nikiwa njia naenda kwenye Intrvw Chanel5 EaTv kwa ajili ya kutambulisha my New Video #ShikaAdabuYako sorry Watu wangu mliokua mkisubiri kuona Video Na Intrvw yote nimeshindwa kufika naweka sawa ili. Video itaenda YouTube kesho itakua kwenye Tv yako Pendwa. Muziki sio vita..... I will never stop doing what i do.!!"
UNAZUNGUMZIAJE  TUKIO HILO?USIACHE KUSHEA NA WANA
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!