|
Mamlaka katika mji wa Mumbai nchini India imetangaza maeneo 16 ambao
ni marufuku kujipiga picha kwa kutumia simu (selfie ) hii ni baaba ya
watu kadhaa kufa wakiwa wanajipiga picha . Taakwimu za mapema
mwaka huu zinaonyesha kati ya watu 49 waliokufa kwa kuteleza wakijipiga
picha kote duniani 19 wako nchini India. |
USIACHE KUSHEA NA WANAO WA DAMU