LULU AKANA KUFUMANIWA NA WEMA AKIWA NA IDRISA,BIG BROTHER AOMBA MSAMAHA CHEKI MAJIBIZANO YAO HAPA

Sungura17
0
Usiku wa kuamkia FEB 21 ulikua ni usiku wa vichambo kati ya team wema,team idrisa na team lulu,story zilianzia snap chat ambako wema na idrisa walikua wakichambana huku idrisa akimwambia wema is too late say sorry,Mara ghafla ligi ikaamia instagram ambaku Rafiki wa karibu wa wema anayetumia jina la @MATIKIBOKOYAO alipost ujumbe wenye kumchamba idris ambapo ndani yake alimuhusisha LULU MICHAEL na hapo ndipo vichambo vikaanza mara mwanadada Lulu akawapandia whatsapp WEMA NA IDRISA 
FROM LULU TO WEMA & IDRIS


Mara baada ya lulu kuwachana on whatsapp ndipo kila mmoja kwa wakati wake wema na idris walipost kwa nia ya kuomba radhi na kusema lulu hausiki kwenye ugomvi wao mambo yalienda hivi,
HUYU NI IDRIS
 
HUYU NI WEMA
 
 BAADA YA LULU KURIDHIKA NA POST ZA IDRIS NA WEMA HIKI NDICHO ALICHOPOST MUDA MFUPI BAADAE
 TOA NENO MOJA TU KWA WASANII HAWA,USIACHE KUCOMENT HAPO CHINI THEN SHEA NA WANA
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!