HAPA NI AUCKLAND ENEO AMBALO NIMESHEHENI MIGAHAWA YA KISASA NA HOTEL ZA KISASA,GHOROFA UNALOLIONA KATI KATI NI SKY TOWER,HUTUMIWA NA WAGENI KUTAMA PEMBE ZOTE NA JIJI. |
SABABU NYINGINE NI KWAMBA HUKOSI MAENEO YA KUFURAHI KULINGANA NA HOBI YAKO,KWA WALE WANAOPENDA MICHEZO YA HATARI KAMA SKYDIVING BASI NEW ZEALAND PANAKUFAA HAPA NI QUEENSTOWN |
UKIZUNGUMZIA MAENEO YALIYOZUNGUKWA NA MAJI NAYANAVUTIA HAKIKA ZIWA TEKAPO NDIO SEHEMU MAARUFU ZAIDI AMBAKO WATALII HUPENDA KUPIGA PICHA,UNALOLIONA HAPO NI KANISA LILILOJENGWA MWAKA 1935. |
NEW ZEALAND WANARUHUSU KUFANYA CAMPING BURE KABISA NA KUNAWATOA HUDUMA HIZO KAA UTAWATUMIA HAO UTATOZWA GHARAMA KULINGANA NA MAKUBALIANO YENU |
HAPA NDIPO ILIPOCHEZEWA LORD OF THE RINGS PANAITWA HOBBITON,KWA WANAOTAFUTA LOCATION ZA MOVIE NA MUSIC VIDEOS HAPA NDIO PENYEWE |
BRIDAL VEIL FALLS NI MAPOROMOKO MAARUFU YENYE UREFU WA MITA 55 WAGENI HUPAFURAHIA KWA SAUTI ZA NDEGE WAZURI NA SAUTI ZA MAPOROMOKO YA MAJI. |
CASTLEPOINT WAIRARAPA NI SABABU NYINGINE ITAKAYOKUFANYA USIJUTIE KWENDA NEW ZEALAND PAMETULIA NA PANAMUONEKANO MZURI MIDA YA USIKU |
NI BAADHI YA WANYAMA WANAOPATIKANA NEW ZEALAND