Kigali umekua mji wa kwanza Africa kuwapatia raia wake huduma ya bure ya internet wanapokua safarini,Akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi huo Vieney Mugabo meya wa mjini Kigali alisema kuwa nia ya mpango huo ni kuwawezesha wananchi kufanya mawasiliano yao ya kibiashara hata wanapokua safarin,wasiboreke na wafurahie safari alisema kiongozi huyo.
TUPIA NENO MOJA TU KWA RAISI WA RWANDA BWANA PAUL KAGAME THENSHEA NA WANA.