Kina cha bahari kinaongezeka kwa kasi
zaidi kuliko ambavyo imewahi kutokea,ikichangiwa kwa kiasi kikubwa na
kuongezeka kwa joto Duniani (global warming) kama ambavyo utafiti
umeonyesha.
Jopo la wanasayansi
limeeleza kuwa mnamo miaka ya 1880 baada ya uvumbuzi wa viwanda Kina cha
bahari kimekua kikiongezeka kwa sentimeta 3 hadi 4 kwa karne,lakini kwa
karne ya 20 ongezeko limepanda hadi kufikia 14 cm kwa karne,Wataalamu
wanaeleza kuwa kiasi hikokitaendelea hadi kufikia 18 setimeta hadi 131
ambapowanaeeza kuwa hiyo ni hali mbaya zaidi.
|
KUEPUKA HILI INABIDI KWA PAMOJA TUSHIRIKIANE KUYATUNZA MAZINGIRA,
USIACHE KUCOMMENT THEN SHEA NA WANA.