Kwenye
picha ni marehemu SONNY JAMES mkali wa miondoko ya country na pop
ambaye alitamba na ngoma zake kali kama vile #YOUNG LOVE,#RUNNING
BEAR,#SINCE I MET U BABY na nyingine nyingi kuanzia miaka ya 50 hadi
1980.
Marehemu
SONNY JAMES aliaga dunia usiku wa kuamkia leo FEB 22 akiwa nyumbani
kwake TENNESE MAREKANI mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema
peponi..R.I.P SONNY JAMES |
MKALI WA MIONDOKO YA POP JAMES HUGH(SONNY JAMES) AFARIKI DUNIA
06:47
0
Tags