OMMY DIMPOZI:"DADA NEEMA KAMA UMAARUFU MAVI UNAO SASA UNATAKA NINI_MIMI SIO SAIZI YAKO NAJUA UNATAKA KICK

Sungura17
0
 
Baada ya mistari MIKALI inayomgusa OMMY DIMPOZ kwenye ngoma mpya ya Nay wa mitego #SHIKA DABU YAKO,hatimaye OMMY atoa ya moyoni na kujikuta anashindwa kuzuia hisia zake na haya ndiyo aliyosema kupia Ukurasa wake wa INSTAGRAM ,kuthibitisha kuwa yeye ni SHABABY na kutupia clip ya video akiwa na mpenzi wake.
Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me.
Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄 vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜
Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki sasa nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic....Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema 😊
JE,kwa jinsi anavyohamika Ney atakaa kimya?au na yeye ataporomosha yake?hebu gonga comment yako hapo chini utuambie kati ya ommy na ney wa mitego nani kamkosea mwenzie.
[youtube src="-fINMfHGsQY"][/youtube]
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!