[ads-post]
John barnabas mchanga,Mtanzania aliyepigwa mawe mpaka kupoteza maisha akiwa kwenye jumba la kamari liitwalo CITY BAR EASTLEIGH BAR AND CASINO iliyopo jijini Nairobi.
Marehemu John barnabas mchanga alikumbwa na mkasa huo baada ya kuwaua kwa kisu wafanyakazi wawili kwenye kasino alipokuwa akicheza kamari.
ANGALIA VIDEO HAPATaarifa kutoka polisi zilieleza kuwa Marehemu alipandwa na hasira baada ya kunyimwa mkopo aliokua akihitaji ili aweze kukomboa pesa alizoliwa zilizokua na thamani ya Ksh 30000 sawa na laki6 ya kitanzania.Mara baada yakunyimwa pesa hizo ndipo alipopandwa na hasira na kuelekea nje ya casino ambapo alikua ameweka kisu hicho na gafla alirudi na ndania na kuwachoma wafanyakazi wa casino hiyo ambao ni Meneja na Mlinzi wa Casino hiyo na alipo jaribu kukimbia ndipo umma wa watu ulipomfukuza na kuanza kumpiga mawe hadi kupoteza maisha.
Nini maoni yako katika mchezo huu wa kamari na kubet ambayo imeshika kasi kwa sasa na huku ikiwa imeelezwa kua inachangia kiasi kikubwa cha kodi kwa serikali,Acha maoni yako hapo chini.