Hiyo ni mistari iliyopo ndani ya nyimbo mpya ya NAY WA MITEGO ambayo kaiachia rasmi leo Tar 2 FEB/2016,kama kawaida yake hua anawachana watu kwa majina,humu Raisi Magufuli kahusika kwa kumwambia aendelee na kazi nzuri,Ommy Dimpoz,shetta,kigosi safari hii hawajaachwa #SHIKA ADABU YAKO ndio jina la nyimbo bofya hapo chini kudownload.
NEY WA MITEGO:WAMEKUCHAGUA WENYEWE MAGU WONYESHE MAUJIZI VUNJA MPAKA UKULU WAKIKULETEA UPUUZI
19:05
0
Tags