Tumekusogezea kile alichosema mbowe alipoulizwa kuhusiana na swala la fedha kwa ajili ya magari ya wabunge,Wabunge wanashinikiza kupatiwa mil.150 za mkopo kama ambavyo bunge lilipitisha 2010 huku upande wa serikali umetoa mil 90 ambazo kwa utaratibu wa kawaida mbunge anachangia nusu ya fedha hizo.
[soundcloud src="246185916"][/soundcloud]