Hatimaye ndoto za Watanzania zimetimia kumshuhudia mchezaji wetu katika Ligi za ulaya,na si mwingine ni NAHODHA wa timu ya taifa MBWANA ALLY SAMMATA akikipiga katika ligi ya ubelgiji Nchi ambayo inaongoza katika viwango vya FIFA.Nami nakuletea maneno machache aliyoshukuru mchezaji huyo kwa watanzania
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru watanzania pamoja na mashabiki wangu wote wa KRC_GENK kwa maombi na support yenu,Leo nimefanikiwa kucheza mchezo wa kwanza rasmi nikiwa na klabu yangu mpya KRC_GENK na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0.I would like to use this opportunity to thank my fans all over the world for the support ,today i have registered my first official game with my new team KRC_GENK.