FLORAH MVUNGI KWELI HAVUNGI AWACHANA LIVE WANOKO WANAOSAKAMA MIMBA YAKE LULU NAYE AMJIBU

Sungura17
0

FLORAH MVUNGI mke halali wa H-BABA bibie Florah awaacha midomo wazi mashabiki zake kwa kile alichoandika katika akaunti yake ya Instagram kuhusiana na wale wanaokaa na kuongelea maisha yake.Msanii huyo wa bongo movie ambaye kwa hivi sasa ni mjamzito alipost picha akiwa anapima uzito Clinic na kuandika haya,
Hahahhahahahahhahaah nacheka kwa raha yaani nafuraha sana mana naona watu maneno yanawatoka kila kona..kwani kuzaa ni kosa?au kuna siku nimemuomba mtu hela ya kutunza wanangu??waja mna tabu sana,jamani hebu tusipangiane jinsi ya kuishi,,kingine siko nje ya ndoa na hata ingekuwa nje ya ndoa pia ni watoto wangu..mwakereka na nini??
Hhahaaaaaa yaani mtasema sana..
Khaaa hamuachi.
Swali limebaki kuwa je,!ni kina nani hao wanaoongea kuhusu yeye kubeba ujauzito?au wapo wasanii wenzie wanaombeza?
LULU NAYE AJIBU:kwa wakati huohuo Msanii mwenzie wa Bongo movie Elizabeth michael na yeye hakusita na kusema yake kupitia post yake iliyojieleza hivi,
 Namna hyo mama @florahmvungi_ hongera sana,Kama kizazi kipo Timiza Amri Ya Mungu mama....Watu wakizaa muwaseme wasipozaa muwaseme😳nn sasa!???Hata Kama ulikuwa unatania mama fanya kweli 😂Mimi nikianza ndo mtanishtaki kbsa😂😂😂mana mnaweza kuhisi navunja Sheria za Nchi au mtahisi nime adopt kizazi cha kuku mana haitokuwa kuzaa ni kutotoa 😪😭😂Kwakweli nikianza hyo shughuli ni mpk Hospital zote duniani waamue kuni BLOCK 😂😂😂
HONGERA BIBIE ZAENI MUIJAZE DUNIA NI AGIZO LA MUNGU.
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!