UGONJWA MWIGINE ULIOIKUMBA AFRIKA MAGHARABI HUU NI ZAIDI YA EBOLA

Sungura17
0
December 2013 huaenda ukawa ni mwezi usio sahaulika akilini mwa waafrica wengi kwakua ndio mwezi ambao gonjwa la hatari lililopoteza raia wengi wa africa maghariki lilishamiri kwa kasi,EBOLA ilianzia Guinea na baadae kusambaa mataifa mengine ikiwemo kama Siera lione,Liberia,Nigeria na penginepo.Na hadi kufikia February 3-2016 Ebola ilishaambukiza jumla ya watu 28,638 na kusababisha vifo 11,315

NCHI ZILIZO ATHIRIKA ZAIDI NA EBOLA HADI KUFIKIA FEB 3 2016 [accordion] [item icon="tags" title="LIBERIA"]Wagonjwa-10675-VIFO-4809[/item] [item icon="tags" title="SIERRA LEONE"]Wagonjwa-14,122-VIFO-3,955[/item] [item icon="tags" title="GUINEA"]Wagonjwa-3,805-VIFO-2,536[/item] [item icon="tags" title="NIGERIA"]Wagonjwa-20-VIFO-8[/item] [/accordion] 
Report kutoka kituo cha uchunguzi na utafiti dhidi ya magonjwa mbalimbali nchini Nigeria kimeeleza kua Takwimu zinaonesha kwamba kuanzia mwezi wa nane 2015 hadi kufikia sasa kumeripitiwa wagonjwa 175 na vifo 101 vitokanavyo na ugonjwa huo.
LASSA ni jina ambalo chanzo chake ni jina la mji uliopo Nchini Nigeria unaoitwa Lassa Mnamo mwaka 1969,Lassa umeendelea kuwa ugonjwa hatari Nchini Nigeria pia Afrika magharibi kwa Ujumla kwani kwa kila mwaka wagonjwa zaidi ya 300000 hukutwa na ugonjwa huo na 5000 kati yao hufariki.
CHANZO NI PANYA:lassa husambazwa na panya kwenda kwa binadamu kwa njia ya mkojo yaani Binadamu hupata ugonjwa huo kwa kutumia chakula au mguso wa moja kwa moja na mkojo wa panya wenye virusi vya LASSA.
KINGA YAKE:matabibu wengi hushauri njia kuu ya kujikinga ya na ugonjwa huo ni kuhakikisha mazingira yako yapo safi yasifanya kua maficho ya Panya buku (mouse) ambae ndiye Chanzo kikuu cha ugonjwa huo.
TOFAUTI NA EBOLA:lassa ni kama ebola lakini ni tofauti na ebola,Matibabu na dawa za kutibu zipo japo hua haziwafikii wagonjwa kwa kiasi kikubwa kwakua ni Ugonjwa ambao dalili zake huanzia ndani kwa mgonjwa kuvuja damu ndani kwa ndani (INTERNAL BLEEDING).
TAHADHARI KWA MATAIFA MENGINE:Tahadhari kubwa imetolewa kwa mataifa yaliyo jirani na Nigeria na hata ya mbali kwani hivi karibuni wamegundulika wagonjwa wengine nchini BENIN.

Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!