Miaka 82 imepita hatimaye binti amefanikiwa kukutanza na mama yake mzazi aliyatengana nae akiwa na umri wa miezi.
Nililazimika kumuacha mwanangu akiwa na umri wa miezi 6(1933) kwakua sheria za hapa nchini hazikuniruhusu kulea mtoto kwakua nilikua mdogo sana umri wa miaka 14 Tu,alisema mama huyo na kuendelea kua ikabidi aolewe mara ya pili na ndipo alipopata watoto 7.Nilikua namuwazia sana na sikua na majibu anaishi vipi,Alisema mama huyo Lena pierce.
Morrell ambaye wazazi wake wa kuasili walifariki akiwa na umri wa miaka 20,alilelewa kama mtoto asiye na wazazi katika mji wa Long island,New york.Niliishi na kaka,dada wa kufikia lakini leo nina furaha nimekutana mama yangu baada kipindi chote hicho kupita.