Jacquline wolper ajikuta yupo matatizoni baada ya kupost picha katika mtandao wa instagram inayoonesha anamajonzi ya Msiba wa calvin kavishe ambaye alifariki dunia kwa ajali ya Gari iliyotokea usiku wa Tarehe 31-JAN-2016.
Baada ya mkali huyo wa Bongo movie kupost picha hiyo ndipo alipoyavaa matusi na vichambo vya kila aina,na hatimaye akajaribu kuomba msamaa na kuondoa picha hiyo lakini bado haikusaidia bado kila mtu aliendelea kutoa yake.
Baada ya uvumilivu kumshinda msanii huyo aliandika post aliyobeba matusi mazito na kuifuta haraka sana,lakin akaamua na yeye kufunguka na kujibu vichambo hivo Na hii ndio post yake aliyojibu wolper dhidi ya vichambo hivo lakini haikusaidia maana ndio alikua kavichokoza upya,Fatilia majibizano hayo katika picha.
Na hizi ndizo zlikua coment zenye kumchamba Mrembo huyo wa bongo movie.