Mara baada ya kuachiwa wimbo uliokua ukisubiliwa kwa muda mrefu hatimaye jana Ijumaa wimbo huo ulikua hewani na kwamuda wa masaa kumi ulishatazamwa zaidi ya mara 42000.Licha ya utamu na uzuri wa wimbo huo Diamond na timu yake pamoja Tuddy ambaye ndiye producer wamejikuta wakiingia katika kundi la Vilaza kwa kucopy kile kilichopo kwenye wimbo wa Timaya unaoitwa Sanko ambao aliutoa mwaka 2014.
Huenda yakawa masikio yetu Na ndio sababu Tumekuwekea link za kudownload audio hapo chini kuna audio ya Timaya-Sanko na Audio ya ndugu yetu Make me sing.Zisikilize kisha shea kwa rafiki zako nao wazidownload waseme.
Nyimbo kali,Video kali lakini kwa kucopy huku huenda ikamuweka pabaya kwa soko la Nigeria sababu sanko ni nyimbo maarufu sana Nchini Nigeria.