Taarifa za ndani kutoka kwa Mashetani wekundu zinaeleza kwamba wapo tayari kumsajili mshambuliaji anayekipiga club ya Dotmund kwa sasa ERICK PIERE AUBAMAYANG,ambaye kwa sasa ndiye anayeongoza kwa magoli kwenye ligi ya bundasliga.Huenda ukawa sio uhamisho rahisi wa nyota huyo lakini tayari MAN UNITED kupitia makamu mwenyekiti wa klabu hiyo bwana ED WOODWARD ameeleza kuwa wapo tayari kutoa paundi milion 70 kwa ajili ya kuinasa saini ya mchezaji huyo Ambaye hivi karibuni amechukua tuzo ya mchezaji bora wa Afrika.
Swali ni kwamba Je dotmund watakua tayari kumuachia nyota huyo?na watamuachia kwa shilingi ngapi?AU dau la united litapokelewa?