SIKILIZA MANENO YA DIAMOND BAADA YA KUACHIA KICHUPA CHAKE KIPYA [MAKE ME SING] HAYA HAPA

Sungura17
0
 
Muda mfupi baada ya Diamond kuachia rasmi video yake mpya [MAKE-M- SING] haya ndio maneno aliyoyasema Msanii huyo (SIMBA).
Kama nlivyowaahidi wadau Kuwa Mwaka huu mbali na kukazia soko la Africa ila target ni kuhakikisha mziki wetu unaingia vizuri Kanda za Afrika ya kusini na America kama tulivyofanikisha Afrika Magaharibi na nchi zingine za Africa!...Naamini kwa Juhudi na Baraka za mwenyez Mungu tutalifanikisha hili... Mungu ibariki Bongo flavour!!
alieleza msanii huyo saa chache baada ya video hiyo kwenda hewani.
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!