Mama ni mtu mwenye nafasi kubwa sana kwa mtoto hata pale unapokua na familia yako ila bado utahitaji mawazo na ushauru wa mama,kwa kuzingatia hilo Yemi alade ameleta kitu hiki special kwa kina mama wote duniani Chukua nafasi hii kuitazama Video hii mpya kabisa na kama utaipenda Share na jamaa waitazame pia.unaweza kuangalia Video ndogo au kubwa hapo chini.
[EXCLUSIVE]:ANGALIA VIDEO MPYA YA YEMI ALADE_MAMA OYOYO FT IYANYA,OLAMIDE,TEKNO,SELEBOBO
16:03
0
Tags