Hapo kwenye picha ni gari lililokuwa likiendeshwa na aliyekua mbunge wa nyamagana Ezakiel wenje,Gari hilo liliacha njia na kugonga Mtaro kisha kuanguka mchana wa leo.Ripoti zinasema kuwa wenje alikua na mbunge wa viti maalum(Chadema) Gimbi Masaba na Mwandishi wa habati wa Tanzania Daima, Sitta Tuma Ambao wampata majeraha madogo madogo
BREAKING NEWS:MBUNGE WA CHADEMA NA WENZIE WAWILI WAPATA AJALI HIVI PUNDE IPO HAPA
15:19
0
Tags