AFYA: ANGALIA VIDEO NAMNA YA KUPUNGUZA TUMBO UKIWA HOME BILA MASHINE

Sungura17
0
 
Huaenda ukawa unasikia kitu kinachoitwa kata tumbo na huenda ukawa unashindwa kufanya kwa kuogopa gharama za kulipia Gym leo Mwanao nimekuletea video itakayokufanya ufurahi na roho yako,video hapo chini imejumuisha style sita ambazo unatakiwa kuzifuata kama zinavyojieleza kwa mtindo wa picha,kila hatua hakikisha unarudia mara 15 ndipo unaenda hatua nyingine,kingine ni kwamba kutoka style moja kwenda nyingine unapumzika dakika moja,utafanya hivo hadi hatua zote sita ziishe kisha unarudia mara tatu yaani series 6 x3.
Kwa matokeo mazuri zaidi jitahidi ufanye kutwa mara mbili baada ya mwezi hutaona tena kitambi na utakua na tumbo zuri na kiuno cha kuvutia...kwa maelezo zaidi au maswali piga simu 0756164484,Video unaweza pia kudownload baada ya kuitazama hapo chini.

[youtube src="Lfb3DGlsyuU"][/youtube]
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!