Usiku wa kuamkia leo FEB 16 ilikua ni usiku wa shangwe mitaa ya Los angels na kwengineko nchini marekani,Ni tuzo zinazotolewa na Chuo cha sanaa nchini humo zijjulikanazo kama GRAMMY AWARDS ikiwa ni Msimu wa 58 imeshuhudiwa nyota wa hip hop Kendick lamar akiondoka na Tuzo 4 katika 11 alizokua akiwania huku bidada Taylor swift nae akinyakua Tuzo ya video bora ya mwaka kupitia video yake ya Bad blood aliyoimba na Kendrick lamar.
TL tumekusogezea list ya washindi hapo chini.
HII NDIO KAZI YA ULIYOTUKABIDHI KUKUPATIA UNACHOHITAJI SHARE NA WASHIKAJI WAIPATE FULL LIST HII