NEW MUSIC:MNAIJA ALIYEUPA WIMBO WAKE JINA LA KILIMANJARO SIKILIZA HAPA MTU WANGU
personSungura17
02:38
0
share
BYNO ni msanii toka Nigeria ameachia wimbo wake mpya alioupa jina la KILIMANJARO,mlima maarufu na mrefu barani africa akimaaanisha kwa mrembo wake kuwa penzi lao lifike mbali kama mlima kilimanjaro Sikiliza hapo chini kisha shea nawashikaji.