HUU NDIO UJIO MPYA WA PUFF DADDY(P DD) BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU

Sungura17

Ni rapa anayelipwa mkwanja mrefu zaidi kwa mujibu wa jarida la Forbes,Ni P diddy Ambaye Ni muda mrefu sasa akiwa kimya pamoja na Label yake ya Bad boy label.

HUENDA HIVI SASA 
MAMBO YAKAWA MATAMU KWAKE NA MASHABIKI WAKE.
Leo Epic records wametangaza kuingia mkataba na Bad boy label.Label itachangia albam mbili za Puff daddy pamoja na kufanya promotion na usimamizi wa soko la albam hizo.
Pdiddy ambaye ameonekana kuiamini sana Epic records anasema huu utakua ujio wenye mafanikio mapya kwake na Mashabiki wake,hivyo wakae mkao wa kula.
Tags

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!