HAYA NDIO MANENO ALIYOYASEMA DIAMOND PLATNAMZ BAADA YA KUKABIDHIWA TUZO ZA NAFCA

Sungura17
Hivi karibuni mkali toka nyerere land Nasib Abdull (DIAMOND) aliwatoa kimasomaso watanzania baada ya kunyakua tuzo tatu za Afrima awards nchini marekani.Leo hii amekabidhiwa Tuzo nyingine tena zinazojulikana kama AFRICAN NAFCA kama anavyoonekana pichani na haya ndiyo yalikua maneno yake...................

"My people jus wanna let you know that have already Received the @AfricanNafca Trophies fro HollyWood.. and i will also come with them Home...
(Ndugu zangu ningependa kuwataarifu kuwa nimeshakabidhiwa poa na zile tunzo za @AfricanNafca kutoka HollyWood ambazo nilishindaga kama Msanii anaependwa Africa na Nyimbo Bora Inayopedwa Afrika #Nana panapo Majaaliwa nitakuja nazo pia Nyumbani siku ya Alhamis..."


Tags

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!