Ni kuhusu madai ambayo Lilwayne aliyatoa hapo awali kuhusiana na kutolipwa pesa zake kama ambavyo Boss wake Birdman alipaswa kufanya,Hatimaye Mambo yafika kwa Minaj ambaye Hivi karibuni alituma barua kwa Wayne inayozungumzia kutolipwa kwa Producers wake na kampuni hiyo.
Ikumbukwe kwamba Tyga ambaye pia aliwahi kuilamu kampuni hiyo kwa kutowalipa baadhi ya wasanii na kudai Birdman anawanyonya kwa kufanya kazi kimazoea na sio kibiashara.
Drake pia amemlalamikia Birdman kwa tabia ya kutolipa pesa zake kama anbavyo mikataba inavyokua ikielekeza.
Weezy ambaye aliweka wazi kiasi cha pesa anawachowadai Young money kuwa ni Dollar 100.million ambazo alitakiwa kulipwa katika kazi walizofanya na kampuni hiyo.
Upande wa pili nao yaani upande wa #Birdman umekanusha madai hayo kwa kusema kwamba Weezy ndiye mwenye matatizo na si Wao(Young money) .