Sijawasahau warembo wa damu mnaopenda kuwawaka,leo nimewasogezea kitu kipyaa kabisa kwenye ulimwengu wa viatu Kinaitwa EDE HEEL PUMP kimetengenezwa Italy na kwa wale wenye haraka zaidi unaweza kununua online kwenye website yao BOFYA HAPA KUNUNUA ni dollar 1900 sawa na 4,194,440/= za kibongo haya kazi kwako me kazi yangu ni kukuweka karibu na dunia ujue kipi kinaendelea tukutane next time... |
USIACHE KUSHEA NA WANAO WA DAMU