Watu na rekodi zao jamaa mmoja Nchini
Nepal aliyefahamika kwa jina Surya Prasad Lamichhane, 34,aliushangaza
uma hapo jana feb 26 baada ya kubeba nyuki zaidi ya milion 1 mwilini mwake tena
bila ya kulalamika maumivu,Inasemekana kuwa Mwanaume huyo ni mfugaji
nyuki kwa miaka 9 anaaminika kuwa ni rafiki mzuri wa wadudu hao.
Duuh! hongera mzee umetisha mbaya maana anayeshikilia record ya dunia ni mchina aliyewahi kutembea na nyuki milion 1.1.
|
USIACHE KUHEA NA WANAO WA DAMU