Hiyo picha unayoina hapo juu ni moja ya ukurasa kwenye mtandao maarufu nchini South Africa ambao ulipost ukiandika kuwa,Nanukuu"AKA
AMEKUA MSANII WA KWANZA AFRIKA KUSINI KWA KUPATA WATAZAMAJI MILION MOJA
KWA SIKU KUMI,VIDEO MPYA YA AKA MAKE ME SING ALIYOMSHIRIKISHA RAPA WA
KENYA DIAMOND PLATNUMZ IMEMFIKISHA MBALI MSANII HUYO WA AFRIKA
KUSINI(AKA)
VIDEO
YA MAKE ME SING IMEFIKISHA WATAZAMAJI MILION MOJA KWA SIKU KUMI TU
NAKUMFANYA AKA KUWAMSANII WA KWANZA AFRIKA KUSINI KUFIKIA. "MWISHO WA
KUNUKUU.
Nadhani
unajua nini kitawasibu wakenya baada ya kujitangazia Diamond ni msanii
wao,Hawa jamaa wanaonekana wezi sana maana walishawahi kusema Mlima
Kilimanjaro ni wa kwao Saizi Tena Diamond wao,Toa neno moja tu kwa
Wakeya na hawa wasauzi,Usiache kucoment hapo chini then shea na wana.
|
WAKENYA WAANZISHA BIFU JIPYA NA WABONGO NI BAADA YA KUMUITA DIAMOND MKENYA SIO MTANZANIA
22:05
0
Tags